Numbers 8:4

4 aHivi ndivyo kinara cha taa kilivyotengenezwa: Kilitengenezwa kwa dhahabu iliyofuliwa, kuanzia kwenye kitako chake hadi kwenye maua yake. Kinara cha taa kilitengenezwa sawasawa kabisa na kielelezo ambacho Bwana alikuwa amemwonyesha Musa.

Kutengwa Kwa Walawi Kwa Ajili Ya Bwana

Copyright information for SwhKC